Posted: Feb. 17, 2026, 12:06 p.m.
The director of the TVMC organization who is also the chairman of the better together group led more than 400 members to participate in jogging and aerobics held in Shinyanga city starting from the regional commissioner's office and later concluding at the CCM Kambarage stadiums.
Mkurugenzi wa shirika la TVMC ambaye pia ni mwenyekiti wa kikundi cha bora kwa pamoja aliwaongoza wanachama zaidi ya 400 kushiriki mchezo wa jogging na aerobics uliofanyika Shinyanga mjini kuanzia ofisi ya mkuu wa mkoa na baadae kuhitimishwa katika viwanja vya CCM Kambarage.
https://lenskingstudio91.pixieset.com/bettertogether/